-
Yohana 15:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Nyinyi hamkunichagua mimi, bali mimi niliwachagua nyinyi, nami niliwaweka nyinyi rasmi mwendelee na kufuliza kuzaa matunda na kwamba matunda yenu yapate kukaa; ili hata liwe ni nini mwombalo Baba katika jina langu apate kuwapa nyinyi hilo.
-