-
Yohana 16:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Hata hivyo, nimewaambia nyinyi mambo haya ili, saa ya haya iwasilipo, mpate kukumbuka niliwaambia nyinyi haya.
“Hata hivyo, mambo haya sikuwaambia nyinyi hapo kwanza, kwa sababu nilikuwa pamoja nanyi.
-