-
Yohana 16:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Kwa maana Baba mwenyewe ana shauku na nyinyi, kwa sababu nyinyi mmekuwa na shauku na mimi na mmeamini kwamba mimi nilitoka nikiwa mwakilishi wa Baba.
-