-
Yohana 18:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Yesu akamjibu: “Mimi nimesema na ulimwengu hadharani. Sikuzote nilifundisha katika sinagogi na katika hekalu, ambapo Wayahudi wote huja pamoja; nami sikusema jambo lolote katika siri.
-