-
Matendo 1:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Naye alipokuwa akikutana pamoja nao aliwapa haya maagizo: “Msiondoke Yerusalemu, bali fulizeni kungojea kile ambacho Baba ameahidi, ambacho mlisikia juu yacho kutoka kwangu;
-