-
Matendo 2:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 mwanamume huyu, kama aliyetolewa kwa shauri lililoamuliwa na kwa ujuzi wa kimbele wa Mungu, mlimfunga kwenye mti kwa mkono wa watu waasi-sheria na kumwondolea mbali.
-