-
Matendo 3:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Basi, kwa kuwa huyo mtu alikuwa akishikilia Petro na Yohana, watu wote waliwakimbilia pamoja kwenye ile iliyoitwa safu ya nguzo ya Solomoni, wakiwa wamepotewa na akili kwa mshangao.
-