-
Matendo 5:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Kabla ya kuliuza, je, halikuwa mali yako? Na baada ya kuliuza, je, pesa hizo hazikuwa mikononi mwako? Kwa nini umewaza tendo kama hili moyoni mwako? Umedanganya si wanadamu, bali Mungu.”
-
-
Matendo 5:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Maadamu ilibaki na wewe je, haikubaki ikiwa yako, na baada ya kuuzwa je, haikuendelea kuwa katika udhibiti wako? Kwa nini ikawa kwamba ukakusudia kitendo kama hiki katika moyo wako? Umefanya isivyo kweli, si kwa wanadamu, bali kwa Mungu.”
-