-
Matendo 5:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Pia, umati kutoka kwenye majiji yaliyokuwa karibu na Yerusalemu ukazidi kuja, ukiwa umewabeba wagonjwa na wale waliosumbuliwa na roho waovu, nao wote wakaponywa.
-
-
Matendo 5:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Pia, umati kutoka kwenye majiji yenye kuzunguka Yerusalemu ukafuliza kuja pamoja, ukiwa umechukua wagonjwa na wale wenye kutaabika wakiwa na roho wasio safi, nao wote wakawa wakiponywa.
-