-
Matendo 5:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Baada yake, Yuda Mgalilaya akainuka katika zile siku za uandikishaji, naye akawa na wafuasi. Mtu huyo pia aliangamia, na wafuasi wake wote wakatawanyika.
-
-
Matendo 5:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 Baada yake Yudasi Mgalilaya aliinuka katika zile siku za usajili, naye akavuta watu wamfuate. Na bado mtu huyo aliangamia, na wote wale waliokuwa wakimtii wakatapanywa kotekote.
-