- 
	                        
            
            Matendo 7:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
- 
                            - 
                                        5 Na bado yeye hakumpa miliki yoyote yenye kurithiwa ndani yalo, la, hata upana wa wayo; bali aliahidi kumpa yeye hiyo kuwa miliki, na baada yake mbegu yake, wakati alipokuwa bado hana mtoto. 
 
-