-
Matendo 7:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Alidhani ndugu zake wangeelewa kwamba Mungu alikuwa akiwaokoa kupitia mkono wake, lakini hawakuelewa.
-
-
Matendo 7:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Alikuwa akidhani ndugu zake wangefahamu ya kwamba Mungu alikuwa akiwapa wao wokovu kwa mkono wake, lakini hawakufahamu hilo.
-