-
Matendo 7:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Siku iliyofuata aliwakuta wakipigana, akajaribu kuwapatanisha kwa amani, akisema: ‘Wanaume, ninyi ni ndugu. Kwa nini mnatendeana vibaya?’
-
-
Matendo 7:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Na siku iliyofuata akawatokea walipokuwa wakipigana, naye akajaribu kuwapatanisha tena wawe na amani, akisema, ‘Wanaume, nyinyi ni ndugu. Kwa nini mwatendeana isivyo haki?’
-