-
Matendo 7:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Musa huyu, ambaye wao walimkana, wakisema, ‘Nani aliyekuweka wewe rasmi kuwa mtawala na hakimu?’ mtu huyu Mungu alimtuma aende zake akiwa mtawala na pia mkombozi kwa mkono wa malaika aliyemtokea katika kile kijiti cha miiba.
-