-
Matendo 7:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Huyu ni yeye aliyekuja kuwa miongoni mwa kutaniko katika nyika pamoja na malaika aliyesema juu ya Mlima Sinai na pamoja na baba zetu wa zamani, naye akapokea matamko matakatifu yaliyo hai ili awape nyinyi.
-