-
Matendo 7:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Kwa hiyo Mungu akageuka na kuwakabidhi watoe utumishi mtakatifu kwa jeshi la mbinguni, kama vile imeandikwa katika kitabu cha manabii, ‘Haikuwa kwangu mimi kwamba nyinyi mlitoa kafara na dhabihu kwa miaka arobaini nyikani, sivyo, Ewe nyumba ya Israeli?
-