-
Matendo 7:49Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
49 ‘Mbingu ni kiti changu cha ufalme, nayo dunia ni kibago cha miguu yangu. Ni nyumba ya namna gani ambayo mtanijengea mimi? Yehova asema. Au ni mahali pangu gani pa kupumzika?
-