-
Matendo 7:51Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
51 “Nyinyi watu wenye shingo ngumu na wasiotahiriwa katika mioyo na masikio, sikuzote mnaikinza roho takatifu; kama baba zenu wa zamani walivyofanya, ndivyo nyinyi mfanyavyo.
-