-
Matendo 7:58Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
58 Na baada ya kumtupa nje ya jiji, wakaanza kumtupia mawe. Na wale mashahidi wakaweka chini mavazi yao ya nje kwenye miguu ya mwanamume kijana aliyeitwa Sauli.
-