-
Matendo 8:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Lakini wanaume waliomwogopa Mungu wakambeba Stefano ili wakamzike, nao wakamwombolezea sana.
-
-
Matendo 8:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Lakini wanaume wenye kumhofu Mungu wakamchukua Stefano hadi kwenye maziko, nao wakafanya maombolezo makubwa juu yake.
-