Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 8:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kwa maana wengi walikuwa na roho waovu, na roho hao walipaza sauti kubwa na kutoka.+ Isitoshe, wengi waliokuwa wamepooza na vilema waliponywa.

  • Matendo 8:7
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 7 Kwa maana kulikuwa na wengi waliokuwa na roho wasio safi, na hawa walikuwa wakipaaza kilio kwa sauti kubwa na kutoka. Zaidi ya hayo, wengi waliokuwa wamepooza na walio vilema waliponywa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki