-
Matendo 8:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Katika jiji hilo kulikuwa na mwanamume aliyeitwa Simoni, ambaye kabla ya hapo alikuwa akifanya uchawi na kulishangaza taifa la Samaria, akidai kwamba alikuwa mtu mkuu.
-
-
Matendo 8:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Sasa katika jiji hilo kulikuwa na mtu fulani aliyeitwa jina Simoni, ambaye, kabla ya hili, alikuwa amekuwa akifanya ufundi wa kimzungu na kushangaza taifa la Samaria, akisema yeye mwenyewe alikuwa mtu mkubwa.
-