-
Matendo 8:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Ndipo yule towashi akamwambia Filipo: “Tafadhali niambie, nabii anasema hivyo kumhusu nani? Kuhusu yeye mwenyewe au mtu mwingine?”
-
-
Matendo 8:34Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
34 Kwa kujibu yule towashi akamwambia Filipo: “Nakuomba, Ni juu ya nani nabii asema hili? Juu yake mwenyewe au juu ya mtu fulani mwingine?”
-