-
Matendo 9:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Lakini Anania akajibu: “Bwana, nimesikia kutoka kwa watu wengi kuhusu mtu huyu, jinsi alivyowatesa watakatifu wako huko Yerusalemu.
-
-
Matendo 9:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Lakini Anania akajibu: “Bwana, nimesikia kutoka kwa wengi juu ya mtu huyu, mambo mengi mabaya aliyowafanya watakatifu wako katika Yerusalemu.
-