-
Matendo 9:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Hata hivyo, Sauli akagundua njama yao. Pia walikuwa wakilinda malango usiku na mchana ili wamuue.
-
-
Matendo 9:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Hata hivyo, njama yao dhidi yake ikapata kujulikana kwa Sauli. Lakini walikuwa pia wakiyaangalia sana malango mchana na pia usiku ili kummaliza.
-