-
Matendo 9:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Kwa hiyo Barnaba akaja kumsaidia na kumwongoza kwa mitume, naye akawaambia kirefu jinsi katika barabara alivyokuwa amemwona Bwana na kwamba alikuwa amesema naye, na jinsi katika Damasko alivyokuwa amesema kwa ujasiri katika jina la Yesu.
-