-
Matendo 9:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Huko akampata mwanamume aliyeitwa Ainea, ambaye alikuwa amelala kwenye kitanda chake kwa miaka minane, kwa maana alikuwa amepooza.
-
-
Matendo 9:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 Huko akapata mwanamume fulani aliyeitwa jina Ainea, aliyekuwa amelala juu ya kitanda chake kwa miaka minane, kwa kuwa alikuwa amepooza.
-