-
Matendo 9:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Wote walioishi huko Lida na katika Nchi Tambarare ya Sharoni walipomwona, wakamgeukia Bwana.
-
-
Matendo 9:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Na wote wale waliokaa Lida na uwanda wa Sharoni wakamwona, na hawa wakageuka kuelekea Bwana.
-