-
Matendo 9:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Lakini siku hizo akawa mgonjwa, akafa. Basi wakamwosha na kumlaza katika chumba cha juu.
-
-
Matendo 9:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 Lakini ilitukia kwamba siku hizo yeye akashikwa na ugonjwa akafa. Kwa hiyo wakamwogesha na kumlaza katika chumba cha juu.
-