-
Matendo 9:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Kwa kuwa Lida ilikuwa karibu na Yopa, wanafunzi waliposikia kwamba Petro alikuwa katika jiji hilo wakatuma wanaume wawili wakamsihi: “Tafadhali njoo kwetu haraka iwezekanavyo.”
-
-
Matendo 9:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Sasa kwa kuwa Lida lilikuwa karibu na Yopa, wanafunzi waliposikia kwamba Petro alikuwa katika jiji hilo wakatuma wanaume wawili kwake kumsihi sana: “Tafadhali usikawie kuja hadi kwetu sisi.”
-