-
Matendo 9:39Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
39 Ndipo Petro akainuka na kwenda pamoja nao. Naye alipowasili, wakamwongoza kuingia katika chumba cha juu; na wajane wote wakajitokeza kwake wakitoa machozi na kuonyesha mavazi mengi ya ndani na mavazi ya nje ambayo Dorkasi alikuwa na kawaida ya kuyafanya alipokuwa pamoja nao.
-