-
Matendo 10:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Alikuwa mtu aliyemheshimu na kumwogopa Mungu, yeye pamoja na watu wote wa nyumba yake, naye aliwapa watu zawadi nyingi za rehema na aliomba dua sikuzote kwa Mungu.
-
-
Matendo 10:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 mtu mstahifu na mwenye kumhofu Mungu pamoja na watu wa nyumbani mwake wote, naye aliwafanyia watu zawadi nyingi za rehema na kuomba dua kwa Mungu kwa kuendelea.
-