-
Matendo 10:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 na ndani yake mlikuwa na kila aina ya wanyama wenye miguu minne, viumbe wanaotambaa wa dunia, na ndege wa angani.
-
-
Matendo 10:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 na ndani yacho mlikuwa namna zote za viumbe wenye miguu minne na vitu vitambaazi vya dunia na ndege wa mbinguni.
-