-
Matendo 10:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 naye akawaambia: “Nyinyi mwajua jinsi ilivyo kinyume cha sheria kwa Myahudi kujiunga mwenyewe na mtu wa jamii nyingine au kumkaribia; na bado Mungu amenionyesha sipaswi kuita mtu yeyote kuwa najisi au si safi.
-