-
Matendo 11:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Nilipotazama kwa makini ndani yake, nikaona wanyama wa dunia wenye miguu minne, wanyama wa mwituni, viumbe wanaotambaa, na ndege wa angani.
-
-
Matendo 11:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Nikikodoa macho ndani yacho, niliangalia-angalia na kuona viumbe wenye miguu minne wa dunia na mahayawani-mwitu na vitu vitambaazi na ndege wa mbinguni.
-