-
Matendo 12:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Herode alipokuwa karibu kumtoa, usiku huo Petro alikuwa amelala akiwa amefungwa kwa minyororo miwili katikati ya wanajeshi wawili, na walinzi walikuwa mbele ya mlango wakilinda gereza.
-
-
Matendo 12:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Sasa Herode alipokuwa karibu kumtokeza, usiku huo Petro alikuwa amelala akiwa amefungwa kwa minyororo miwili katikati ya askari-jeshi wawili, na walindaji mbele ya mlango walikuwa wakilitunza gereza.
-