-
Matendo 12:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Alipotambua sauti ya Petro, akashangilia sana hivi kwamba badala ya kufungua lango, akarudi ndani mbio na kuwaeleza kwamba Petro amesimama langoni.
-
-
Matendo 12:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 na, alipoitambua sauti ya Petro, hakulifungua lango kwa sababu ya shangwe, bali akakimbia ndani na kuripoti kwamba Petro alikuwa amesimama mbele ya njia ya lango.
-