-
Matendo 12:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Basi kulipokucha, kukawa na mvurugo miongoni mwa wanajeshi kuhusu kilichompata Petro.
-
-
Matendo 12:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Basi, ilipokuwa mchana, kulikuwa na msukosuko usio mdogo miongoni mwa askari-jeshi juu ya ni nini kwa kweli lililokuwa limempata Petro.
-