-
Matendo 13:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Lakini Elima mlozi (kwa maana hivyo ndivyo jina lake linavyotafsiriwa) akaanza kuwapinga, akijaribu kumzuia yule liwali asiwe mwamini.
-
-
Matendo 13:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Lakini Elimasi mlozi (hiyo, kwa kweli, ndivyo jina lake litafsiriwavyo) akaanza kuwapinga, akitafuta sana kumgeuza mbali prokonso kutoka kwenye ile imani.
-