-
Matendo 13:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Basi walipokuwa wakiondoka, watu wakawasihi wazungumzie mambo hayo Sabato iliyofuata.
-
-
Matendo 13:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Basi walipokuwa wakitoka, watu wakaanza kusihi sana mambo haya yasemwe kwao siku ya sabato inayofuata.
-