-
Matendo 14:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Na umati, ulipoona lile ambalo Paulo alikuwa amefanya, ukainua sauti zao, ukisema katika lugha ya Kilikaonia: “Miungu imekuwa kama binadamu na imeteremka kwetu!”
-