-
Matendo 15:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 ‘Baada ya mambo haya mimi nitarudi na kujenga upya banda la Daudi lililoanguka chini; nami nitajenga upya magofu yalo na kulisimamisha tena,
-