-
Matendo 15:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Lakini Paulo hakufikiri kuwa yafaa kumchukua huyu pamoja nao, kwa kuwa yeye alikuwa amewaacha Pamfilia na hakuwa ameenda nao kwenye kazi.
-