-
Matendo 16:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Basi walipoendelea kusafiri kuyapitia majiji walikuwa wakiwakabidhi wale wa huko maagizo yaliyokuwa yameamuliwa na mitume na wanaume wazee waliokuwa katika Yerusalemu ili yashikwe.
-