-
Matendo 16:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Nao umati ukainuka pamoja dhidi yao; na wale mahakimu wa raia, baada ya kuyararua mavazi yao ya nje yawatoke, wakaitoa amri wapigwe kwa fito.
-