-
Matendo 16:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Ilipofika mchana, mahakimu wa raia wakawatuma maofisa wa polisi wakaseme: “Wafungueni wale watu.”
-
-
Matendo 16:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Ilipokuwa mchana mahakimu wa raia wakawatuma makonstebo wakaseme: “Wafungue watu wale.”
-