-
Matendo 16:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Mlinzi wa jela akamweleza Paulo maneno yao: “Mahakimu wa raia wamewatuma watu ili ninyi wawili mfunguliwe. Basi tokeni sasa mwende zenu kwa amani.”
-
-
Matendo 16:36Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
36 Kwa hiyo mlinzi wa jela akaripoti maneno yao kwa Paulo: “Mahakimu wa raia wamewatuma watu kwamba nyinyi wawili mpate kufunguliwa. Kwa hiyo, sasa, tokeni mshike njia yenu mwende kwa amani.”
-