Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 17:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Lakini baadhi ya Waepikurea na wanafalsafa Wastoa wakaanza kubishana naye, wengine wao wakisema: “Mpigadomo huyu anataka kusema nini?” Nao wengine: “Inaonekana anatangaza miungu ya kigeni.” Kwa sababu alikuwa akihubiri habari njema ya Yesu na ufufuo.+

  • Matendo 17:18
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 18 Lakini watu fulani wa Waepikurea na wanafalsafa Wastoa pia wakawa wanaongea naye kwa mabishano, na baadhi yao walikuwa wakisema: “Ni nini ambalo mpiga-domo huyu angependa kusimulia?” Wengine: “Aonekana kuwa mtangazaji wa miungu migeni.” Hiyo ilikuwa kwa sababu alikuwa akitangaza habari njema ya Yesu na ufufuo.

  • Matendo
    Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
    • 17:18 bt 141-142; w03 7/15 22; w01 8/1 8; w98 7/15 25, 27

  • Matendo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 17:18

      Kutoa Ushahidi, kur. 141-142

      Mnara wa Mlinzi,

      7/15/2003, uku. 22

      8/1/2001, uku. 8

      7/15/1998, kur. 25, 27

      6/15/1990, uku. 18

      6/15/1989, kur. 3-4

      2/15/1989, kur. 5-6, 10

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki