-
Matendo 18:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Mwanamume huyu alikuwa amefundishwa kwa mdomo katika njia ya Yehova na, kwa kuwa alikuwa amewaka roho, akaanza kusema na kuyafundisha kwa usahihi mambo juu ya Yesu, lakini akiwa aufahamu ubatizo wa Yohana tu.
-