-
Matendo 19:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Aliendelea kufanya hivyo kwa miaka miwili, hivi kwamba wote walioishi katika mkoa wa Asia wakasikia neno la Bwana, Wayahudi na Wagiriki pia.
-
-
Matendo 19:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Hilo lilitukia kwa miaka miwili, hivi kwamba wote wale wenye kuikaa wilaya ya Asia wakasikia neno la Bwana, Wayahudi na Wagiriki pia.
-